wadau natafuta sehemu ya kuweka car wash ,ninazo machine tayari natafuta tu eneo ambalo lina maji ya kutoka na lenye biashara km kuna mtu an idea yoyote anieleweshe ndugu zangu.
Mkuu una mashine za ainagani tukupe maujuzi mana mashine za kuosha kuna Semi Automatic na nyinginezo ambazo hazihitaji maji mengi hebu funguka tukupe somo
Nenda kajaribu kuomba pale Kituo cha kujaza mafuta cha ENGINE opposite na Ubungo Plaza hakuna car wash. Hata pale kwenye parking za Ubungo plaza, unaweza kuongea na uongozi wa pale wakakuruhusu kujibanza mle.