Car Tax Exemptions for public workers

Car Tax Exemptions for public workers

andycachy

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
83
Reaction score
18
Naomba kuuliza hii tax exemption kama unaagiza gari kwa wafanyakazi wa serikali bado ipo? na kama ipo naomba utaratibu wake, Asanteni.
 
Kuna jamaa angu mmoja anajila la mwanzo kama la kwako ila la mwisho sasa alikua anatumia kachiwile
 
Bado ipo lakini tofauti na siku za nyuma haina maana. Tofauti ya kupata na kutopata ndogo sana
 
Back
Top Bottom