Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Wakuu, leo tuongelee machujio ya hewa na mafuta (air filters na fuel filters). Nayo nayaita mwana mpotevu kwasababu kuna watu hawabadirishi miaka nenda miaka rudi.
ENGINE AIR FILTER
Engine air filter inachuja hewa inayoingia kwenye injini kabla ya combustion, ikizuia dust, michanga, pollen na uchafu wowote uliobebwa na hewa usiharibu pistons na valves.
Filter ikichajaa au ikiwa chafu inapunguza air flow inayopelekea kuongeza fuel consumption na kupunguza power.
Interval ya kubadirisha:
DIY:
Uzuri hii haina aja kupeleka gereji. Unaweza DIY kwasababu filter ni plug and play. Fungua air box clips, toa ya zamani, weka mpya. Dakika 5–10 tu.
Bei:
Magari mengi ya Kijapan tunanunua kwa elfu 20-40 ila German inafika 35-60 ingawa zipo hadi za 120k hadi 180k.
Faida ya kubadirisha:
CABIN/AC FILTER (POLLEN FILTER)
Yenyewe inachuja hewa inayoingia kwenye gari kupitia A/C vents kwa kuondoa vumbi, harufu, na allergens. Ikiwa imeziba, hewa hupungua, A/C inachoka, na harufu mbaya unakua unaisikia.
Interval ya kubadirisha:
Kutegemea matumizi ya AC na mazingira uliyopo, unaweza badirisha kwa mwaka mara moja au mara mbili. Mfano:
DIY:
Nayo rahisi kubadirisha mwenyewe. Inapatikana nyuma ya glove box au chini ya dash. Unafungua clip chache tu, no tools needed. Unaweza kusafisha kwa kupuliza hewa ile ya mafundi pancha, lakini bora zaidi ni kubadilisha.
Bei:
Faida:
Kwa wamiliki wa magari ya diesel, wakina CX5 na Atenza, hii kitu mnaipotezea sana. Kazi kuu ni kuchuja mafuta kabla ya kufika kwenye injectors, inatoa uchafu na unyevu. Kwa diesel engines, hii ni critical kwani diesel ina impurities nyingi. Clogged filter inaweza kusababisha rough idling ukiwa parking, poor acceleration, au injectors kuharibika.
Interval ya kubadirisha:
Kawaida: 20,000–40,000 km ila unaweza shuka zaidi kama unatumia sana mafuta kutoka hizi sheli janja janja.
DIY:
Baadhi ya magari (kama Mazda, au Toyota Diesel) ni plug-type filter unaweza kubadilisha mwenyewe.
Lakini BMW, Audi, Benz ni vyema fundi mwenye experience afanye kwa sababu ya fuel pressure system.

- Barabara za kawaida : every 12,000–15,000 km
- Kwenye vumbi sana (mfano Dar es Salaam): every 8,000–10,000 km
- Kama barabara saaafi kabisa: up to 18,000 km
DIY:
Uzuri hii haina aja kupeleka gereji. Unaweza DIY kwasababu filter ni plug and play. Fungua air box clips, toa ya zamani, weka mpya. Dakika 5–10 tu.
Bei:
Magari mengi ya Kijapan tunanunua kwa elfu 20-40 ila German inafika 35-60 ingawa zipo hadi za 120k hadi 180k.
Faida ya kubadirisha:
- Better combustion & fuel economy
- Longer engine life
- Smooth acceleration
- Less smoke & cleaner emissions
CABIN/AC FILTER (POLLEN FILTER)
Yenyewe inachuja hewa inayoingia kwenye gari kupitia A/C vents kwa kuondoa vumbi, harufu, na allergens. Ikiwa imeziba, hewa hupungua, A/C inachoka, na harufu mbaya unakua unaisikia.
Interval ya kubadirisha:
Kutegemea matumizi ya AC na mazingira uliyopo, unaweza badirisha kwa mwaka mara moja au mara mbili. Mfano:
- Normal use: every 10,000–15,000 km (≈ yearly)
- Dusty cities (Dar, Dodoma): every 6–8 months
DIY:
Nayo rahisi kubadirisha mwenyewe. Inapatikana nyuma ya glove box au chini ya dash. Unafungua clip chache tu, no tools needed. Unaweza kusafisha kwa kupuliza hewa ile ya mafundi pancha, lakini bora zaidi ni kubadilisha.
Bei:
- Japanese small cars: TSh 25k–50k
- German na Uingereza: TSh 40k–70k
Faida:
- Hewa safi ndani ya gari
- Ufanisi wa A/C unaongezeka
- Kinga ya afya dhidi ya allergens & pollution
Kwa wamiliki wa magari ya diesel, wakina CX5 na Atenza, hii kitu mnaipotezea sana. Kazi kuu ni kuchuja mafuta kabla ya kufika kwenye injectors, inatoa uchafu na unyevu. Kwa diesel engines, hii ni critical kwani diesel ina impurities nyingi. Clogged filter inaweza kusababisha rough idling ukiwa parking, poor acceleration, au injectors kuharibika.
Interval ya kubadirisha:
Kawaida: 20,000–40,000 km ila unaweza shuka zaidi kama unatumia sana mafuta kutoka hizi sheli janja janja.
DIY:
Baadhi ya magari (kama Mazda, au Toyota Diesel) ni plug-type filter unaweza kubadilisha mwenyewe.
Lakini BMW, Audi, Benz ni vyema fundi mwenye experience afanye kwa sababu ya fuel pressure system.
Bei:
- Japanese diesels: TSh 40k–80k
- BMW/Audi/Mercedes: TSh 70k–120k
Faida:
- Mafuta yanayoflow yanakua masafi kwahiyo injectors zitakua safe.
- Engine performance inakua peak na ulaji mzuri pia wa mafuta.
- Mfumi mzima wa mafuta unakua mzuri.