O Old pirate Member Joined Nov 20, 2018 Posts 28 Reaction score 24 Sep 10, 2019 #1 Wakuu mm napenda kuuliza kwa hapa morogoro kama kuna mafundi wazuri wa kudesign muonekano wa ndani wa gari kwa bei reasonable hasa kwa kuzingatia hii hali ya sasa ya mzee magu
Wakuu mm napenda kuuliza kwa hapa morogoro kama kuna mafundi wazuri wa kudesign muonekano wa ndani wa gari kwa bei reasonable hasa kwa kuzingatia hii hali ya sasa ya mzee magu
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,532 Sep 10, 2019 #2 Pale walipochomoa Bateri
O Old pirate Member Joined Nov 20, 2018 Posts 28 Reaction score 24 Sep 10, 2019 Thread starter #3 Hazchem plate said: Pale walipochomoa Bateri Click to expand... Pale nmeenda lkn kazi yao naona c nzuri
Hazchem plate said: Pale walipochomoa Bateri Click to expand... Pale nmeenda lkn kazi yao naona c nzuri