Car for sale

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Nissan Sunny - For only Tsh. 3,333,333/=. Contact me - PM

Utaletewa hadi mlangoni, popote ndani ya TZ.

DSC04396.JPG

DSC04398.JPG

DSC04399.JPG
 
you are not serious.
eleza hapa hiyo gari ina matatizo gani kwanini inauzwa rahisi hivyo? na ni ya mwaka gani?
 
Daah, T 176 BWG, namba ya juzi tu sijui kwa nini jamaa anauza bei hiyo!
 
you are not serious.
eleza hapa hiyo gari ina matatizo gani kwanini inauzwa rahisi hivyo? na ni ya mwaka gani?

Hii gari imekula sana puti, angalia mbele iko kama biskuti...bora uongezee hela kidogo uchukue gari ndogo na nzuri zaidi.
 
you are not serious.
eleza hapa hiyo gari ina matatizo gani kwanini inauzwa rahisi hivyo? na ni ya mwaka gani?
nu

Hii gari haina tatizo lolote, hii gari ilinuliwa znz na kuletwa dar kwa madhumuni ya kutembelea hapo (kikazi nje ya dar), kwa sasa nature ya kazi hairuhusu kuja dar mara kwa mara. Kumbe wabongo mnapenda kuibiwa, mimi najaribu kuwa fair kutokana na hali ya uchumi na ukizingatia kwa sasa hiyo gari imekaa tu; wewe unasema rahisi, kweli wabongo tunatofautiana, wengine wanalia hali ngumu, wengine ndio hivyo tena....!!!
 
Hii gari imekula sana puti, angalia mbele iko kama biskuti...bora uongezee hela kidogo uchukue gari ndogo na nzuri zaidi.

Hiyo gari haina puti, hii gari nilinunua kwa mtu zanzibar alikuwa hatumii kwa muda mrefu (sio kwamba ilikuwa mbovu, bali alikuwa na magari mengine), ilikuwa imepauka kwa sababu ya kupigwa jua; nikaamua kuipiga rangi.
 
Daah, T 176 BWG, namba ya juzi tu sijui kwa nini jamaa anauza bei hiyo!

Wabongo mnapenda kutapeliwa, bei ya kitu inategemea na wewe ulikipataje (gharama). Nimejaribu kuwa fair kutokana na hali ya uchumi kwa yule ambae hana gari na angetamani kuwa na kausafiri basi apate, kwa sasa imepark tu; hivyo ni bora nimpatie mhitaji. Asanteni kwa kunifungua kwamba bei ni ndogo, sasa nimeongeza, HIYO GARI INAUZWA TSH 5,555,555/=, hakuna mazungumzo.
 
Hiyo gari haina puti, hii gari nilinunua kwa mtu zanzibar alikuwa hatumii kwa muda mrefu (sio kwamba ilikuwa mbovu, bali alikuwa na magari mengine), ilikuwa imepauka kwa sababu ya kupigwa jua; nikaamua kuipiga rangi.

Mgombezi wewe ni member wa sikunyingi sana humu kitalani na unaheshima zako hapa pia, hii gari inaoneka imerudiwa kupakwa rangi baada ya ajali, huko mbele imepondeka sana hata show yake mkono wa kushoto imepasuka, taa ya mbele mkono wake wa kulia imevunjika, sasa tunaomba utueleze ni nini ilikisibu gari hili hadi kuwa hivyo lilivyo na ni kwa nini unaliuza bila hata kutoa maelezo yoyote.
 
Wabongo mnapenda kutapeliwa, bei ya kitu inategemea na wewe ulikipataje (gharama). Nimejaribu kuwa fair kutokana na hali ya uchumi kwa yule ambae hana gari na angetamani kuwa na kausafiri basi apate, kwa sasa imepark tu; hivyo ni bora nimpatie mhitaji. Asanteni kwa kunifungua kwamba bei ni ndogo, sasa nimeongeza, HIYO GARI INAUZWA TSH 5,555,555/=, hakuna mazungumzo.

hahaha....naona umeshtukiwa unasepa kiaina, hii ndiyo JF kaka, ulitaka kuwaingiza watu mkenge...lols
 
hahaha....naona umeshtukiwa unasepa kiaina, hii ndiyo JF kaka, ulitaka kuwaingiza watu mkenge...lols

Nimecheka sana.....!!!!, mkuu; nafikiri nimetoa ufafanuzi kidogo hapo awali, hii gari nilnunua ikiwa imesimama muda mrefu bila kutumika (unajua tena wazanzibari wengine ishu za magari kwao sio tatizo), hivyo basi waliamua kuniuzia kirafiki sana, haikuwa imepata ajali, hilo boneti mbele kwa kuwa garo lilikuwa limepark tu watoto walikuwa wanapanda na kufanya libonye kidogo lakini sio ajali. Bali nilichogundua kwamba wabongo wanapenda vitu vya bei juuuuuuu kidogo.
 
Wengi wamekuwa wakiuliza maswali haya:

1. Km ngapi? = 94114
2. Ni toleo la mwaka gani? = 1998
3. Ilishawahi kupata ajali ikanyoshwa bodi? = hapana
4. Ilishawahi badilishwa rangi, au kupakwa tena? = ilishawahi kupigwa rangi mara moja baada ya kupauka kidogo.
5. Ina AC/CD player = AC - kujaza gesi, cd player = ok.
6. Ina historia ya service? = iko safi.
 
Hiyo gari haina puti, hii gari nilinunua kwa mtu zanzibar alikuwa hatumii kwa muda mrefu (sio kwamba ilikuwa mbovu, bali alikuwa na magari mengine), ilikuwa imepauka kwa sababu ya kupigwa jua; nikaamua kuipiga rangi.

gari nyingi zinazotoka zanzibar vimeo sana
 
gari nyingi zinazotoka zanzibar vimeo sana

Una ushahidi gani, magari mengi huku bara yalipitia znz. Wewe kama uliuziwa kimeo, usi-conclude. Nimidiejifunza jambo hapa, wabongo wengi wabanunua vitu kwa kuangalia bei, ikiwa na bei ya juu basi hicho ni bora; ndiyo maana wengi wanaponda vitu vya wachina ambao wanajitahidi kutuletea bidhaa kutokana na hali zetu. Anaeylitaka hili gari kama yuko dar ni bora afanye mpango wa kuliona, kuliko kusikiliza haya maneno ya kijiweni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom