Car for sale

Car for sale

Wabongo mnapenda kutapeliwa, bei ya kitu inategemea na wewe ulikipataje (gharama). Nimejaribu kuwa fair kutokana na hali ya uchumi kwa yule ambae hana gari na angetamani kuwa na kausafiri basi apate, kwa sasa imepark tu; hivyo ni bora nimpatie mhitaji. Asanteni kwa kunifungua kwamba bei ni ndogo, sasa nimeongeza, HIYO GARI INAUZWA TSH 5,555,555/=, hakuna mazungumzo.

Wewe ni free manson or illuminat? Maana hizo 333 au 555 mmmhhhh usije ukawa 666
 
Thanks for info.
Please call me through 0784670365 or just flash me then i will call you back as my brother needs this car ASAP.
Regards
Tony Lee
 
Kama unahitaji gari acha maneno mengi wahi faster kaione. Miye nimenunua gari hapa JF kwa bei poa sana. Inategemea na muuzaji. Ni vizuri uione na uulize maswali hapo kama siyo mtaalamu nenda na fundi unayemwamini
 
kibongo bongo hata ungeuza gari jipya kabisa kaa hili ukasema m3 bado watakutaka upungze bei.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom