Car for Sale (Toyota Duet) Yr 2000

Car for Sale (Toyota Duet) Yr 2000

John Malanilo

Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
50
Reaction score
13
Ndugu zangu wana jukwaa,

Ninauza kigari changu aina ya Toyota Duet kwa harakaili kutatua tatizo linalonikabili. Gari yenyewe ina specifications zifuatazo:-

Make Toyota

Model Duet
Year of Manufacturer 2000

Doors 5
Seating capacity 5

Imported from: Japan

odometer reading 103245

Car condition: Good(ready to use; You buy and drive).
Nipigie mara moja tuongee biashara. Namba yangu ni 0767 481191

Malanilo

Bei ni Maelewano. Ndo maana nimeweka namba ya simu. Ahsante

broza maana ya wewe kunshawishi mtu to buy ur car mapema zaidi its ur price tag.kama unajuwa nn maana ya online business base on price after same1 seen ur price its affordable negtn follows. kama kweli unataka kuuza gari yako mapema hufanye mambo yako weka price.people are using units broza.try do dat
 
6 million. Come on we negotiate
 
Wajapan wangekuwa na matangazo kama haya no price, no pictures, mahali ulipo n.k jiulize ingekuwaje? Africa tunakalia kulia na kulaumu wazungu kuwa wametufanya masikini, kumbe you are the source oh God forgive us africans tusikulaumu ee Baba, tusamehe dhambi ya uzembe wa kutotaka kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa!
 
Ungeweka mahali ilipo na picha ingekusaidia.unaonekana una haraka ya kuuza bila kufuata vigezo unavyo shauriwa na wanaforum.
 
Back
Top Bottom