Car for Girls only

Wasichana wa Kibongo watakumiminia PM bila shaka.

Maana hawakubaligi kupitwa!

KAZI KWELI KWELIIII!!
 
Nayataanguka ya kumwaga kwa kuwa muda wote watataka kujikoleza malimbwata ya usoni.
 
Da ya ukweli kiongizi. Naomba PFI kwa ajili ya demu wangu coz msumbufu kinyama
 
ya ukweli sana asee..! how do i press order for my baby girl..!?
 
sasa hili ni gari la kutembelea...au ni gari la vipodozi???
 
Potelea mbali bora nibaki hivyo hivyo natural kuliko kupata ajili kwenye hilo gari, thats too much.
 
Yote hayo kwa ajili ya nani? Kuan mambo muhimu wanapaswa kufanya kuliko kujipodoa.
 
mi nilidhani lina injini ya tofauti kumbe ni kuwka makeuos kwenye dashborad tu!!! hata mtaani kwenu kama kuna gereji ya mchina anaweza akakuwekea..... ila itabidi uwe mvumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…