wana JF naomba msaada kwa hili suala la car exemption kwa anayefahamu.
Ni mtumshi yupi anayestahili kupata exemption mara anunuapo au kuagiza gari.
kwa gari la 10mcif,exemption inaweza kuwa tsh ngapi?
Ingia web site ya TRA utapata kila kitu yaani haitapungua hata sent aua kuzidi. ila tu excemption unatakiwa uwe ni mfanyakazi wa serikali na uwe na muda wautumishi zaidi ya miaka miwili

Nikushauri mzee naona wote wanakukwepa
Exemption kwa civil servant bado ipo,na gari isiwe chini ya 2004 maana inaenda January sasa 2013, isiwe na >3000CC
make it happen
best regards
Haijafutwa ipo ila vat 18 percent na chaji zote za bandari lazima ulipe...kama nilivyokwambia niliingiza rav 4 la mwalimu...pili mpaka fomu zako zipitishwe elimu ukiwa ni mwalimu ni process ndefu ambapo gari lawezafika kabda hujamaliza matokeo yake storge charge zinaongezeka na kuibiwa vifaa