Caption the pictures

Kiba angekuwa na akili angekuwa mbali sana sema huwa hawezi kutumia fursa effectively
Nadhani tatizo liko kwa management team yake, ashauriwe apate management nzuli.
Atasonga mbele zaidi
 
Daah, huyu maza mpk sasa ni kisu japo ni 50+
Anyway, kiba anajua sema apate ushauri kidg kwa kaka mdg yule wa upande wa pili atafika SATz
 
Ngoja tusubiriea hiyo nyimbo ya wakali hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…