Caption Please

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267


Tafadhali toa maon yako kuhusu picha hii...ya kwangu nalinganisha na hoja ya mahips iliporushwa picha ya Nape na Mnyika
 
sina maoni zaidi ya kumshangaa tu huyo jamaa na dgri zao za kuchonga..!
 
"Hongera mwanangu, japo degree yenyewe ndo ya hivyo hivyo lakini cha msingi ni kwamba umeipata, hao wanaosema sijui ooh ya kupewa au sijui kahonga watajiju, raha jipe mwenyewe mwanangu, hii ndo raha ya kujua kupiga shortcut, unakuwa mwana si hasa halafu degree zinakufata kitandani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…