barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Feb 28, 2015 #141 MEANDU said: he is gone Click to expand... You mean like gone, like gone gone forever???
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 28, 2015 #142 Komba wa ccm?
chinga4 Senior Member Joined Mar 18, 2013 Posts 131 Reaction score 58 Feb 28, 2015 #143 Mbunge wa mbinga magharibi (ccm), kaptain john komba amefariki dumua hivi punde katika hospitali ya tmj mikocheni na hivi sasa mwili wake unapelekwa katika hospitali ya rufaa ya jeshi lugalo,kwaajili ya kuifadhiwa
Mbunge wa mbinga magharibi (ccm), kaptain john komba amefariki dumua hivi punde katika hospitali ya tmj mikocheni na hivi sasa mwili wake unapelekwa katika hospitali ya rufaa ya jeshi lugalo,kwaajili ya kuifadhiwa
unanitaka JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,178 Reaction score 1,046 Feb 28, 2015 #144 Theonest Theophil said: Kafara zimeanza mapema namna hii?? Uchaguzi wa safari hii tutaona mengi Click to expand... Mawazo yako yako kimgandomgando
Theonest Theophil said: Kafara zimeanza mapema namna hii?? Uchaguzi wa safari hii tutaona mengi Click to expand... Mawazo yako yako kimgandomgando
All TRUTH JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 5,452 Reaction score 2,571 Feb 28, 2015 #145 Rip babu
L lyanyungu Member Joined Jan 21, 2015 Posts 19 Reaction score 10 Feb 28, 2015 #146 Ina maana urais ndio basi tena? r i p captain na bunge la katiba bado linakuhitaji
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,312 Feb 28, 2015 #147 kwa kweli mi siwezi kusikitika maana alikuwa msaliti wa sisi watanzania kwenye kutunga katiba na michango yake bungeni naomba radhi kwa nikayemkera kwa comment yangu hii
kwa kweli mi siwezi kusikitika maana alikuwa msaliti wa sisi watanzania kwenye kutunga katiba na michango yake bungeni naomba radhi kwa nikayemkera kwa comment yangu hii
kibafute JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 560 Reaction score 203 Feb 28, 2015 #148 Hii thread inahitaji umakini sana katika kuchangia maana bila hivo watu wengi sna wanaweza kula ban za milele
Hii thread inahitaji umakini sana katika kuchangia maana bila hivo watu wengi sna wanaweza kula ban za milele
dmaujanja1 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2008 Posts 223 Reaction score 68 Feb 28, 2015 #149 Source plz
Ndiho JF-Expert Member Joined Feb 23, 2013 Posts 2,306 Reaction score 1,535 Feb 28, 2015 #150 OKW BOBAN SUNZU said: Inasemekana Mh.Komba alimtungia Mwalimu Nyerere nyimbo kabla ya kufariki Click to expand... Yeye nani atamutungia nyimbo? R.I.p bonge Komba.
OKW BOBAN SUNZU said: Inasemekana Mh.Komba alimtungia Mwalimu Nyerere nyimbo kabla ya kufariki Click to expand... Yeye nani atamutungia nyimbo? R.I.p bonge Komba.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 28, 2015 #151 Alikuwa anaumwa nini? Nani sijui atawaburudisha katika kampeni zao....
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,765 Feb 28, 2015 #152 Kifo hakichagui CCM wala Chadema, hakuna mwenye uwezo wa kukwepa kifo. Wote tupo katika safari moja. Kila nafsi itaonja mauti.
Kifo hakichagui CCM wala Chadema, hakuna mwenye uwezo wa kukwepa kifo. Wote tupo katika safari moja. Kila nafsi itaonja mauti.
Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Feb 28, 2015 #153 Pole kwa familia ya mzee wetu wa msituni. Rest in peace. Duniani tunapita
kibafute JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 560 Reaction score 203 Feb 28, 2015 #154 Ndugu watanzaniiiiiaaaaaaaa tumesikitikaaaaaaaaaaaa...kwa kifo chaa chaa mwalimuuuuuuuu
respect wa boda JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 4,556 Reaction score 3,843 Feb 28, 2015 #155 Ben Saanane said: Haya.....! Click to expand... Mkuu kweli tunatembea tukiwa wafu...!!!! Huyu mzee juzi hapa alidai ati kama katiba mpya itatumbua uwepo wa serikali tatu "Yupo tayari kuingia msituni kupigania serikali mbili".. Tena juzi pale Songea akawaimbia ccm wimbo wa "kuwaaga" huku Kikwete akimsifu ati haishishiwi nyimbo...!!!!! Leo ndo hivyo tena..!!! Nadhani mstuko wa kupigwa mnada nyumba na shule alizokuwa akimiliki zimechangia mzee kuondoka mapema... Aaaaah alale anapostahili....!!!!!!!! BACK TANGANYIKA
Ben Saanane said: Haya.....! Click to expand... Mkuu kweli tunatembea tukiwa wafu...!!!! Huyu mzee juzi hapa alidai ati kama katiba mpya itatumbua uwepo wa serikali tatu "Yupo tayari kuingia msituni kupigania serikali mbili".. Tena juzi pale Songea akawaimbia ccm wimbo wa "kuwaaga" huku Kikwete akimsifu ati haishishiwi nyimbo...!!!!! Leo ndo hivyo tena..!!! Nadhani mstuko wa kupigwa mnada nyumba na shule alizokuwa akimiliki zimechangia mzee kuondoka mapema... Aaaaah alale anapostahili....!!!!!!!! BACK TANGANYIKA
bmk JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 571 Reaction score 861 Feb 28, 2015 #156 farmer82 said: mungu amuweke anapostahili kutokana na matendo yake aliyoyafanya duniani! Click to expand... amen.....
farmer82 said: mungu amuweke anapostahili kutokana na matendo yake aliyoyafanya duniani! Click to expand... amen.....
chinga4 Senior Member Joined Mar 18, 2013 Posts 131 Reaction score 58 Feb 28, 2015 #157 Source mi mwenyewe.. mbona cjakuzushia ww kufa??
Ayanda85 JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 629 Reaction score 567 Feb 28, 2015 #158 Rest in peace captain... JOHN KOMBA
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 28, 2015 #159 Sio kila mtu anaenda peponi, C.T.U, sema mola amlaze panapostahili.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016