TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Jamani!!! komba hakutenda mazuri?mbona naona yanatajwa mabaya yake tu!,naomba kama kuna mtu anayefahamu mazuri yake ayataje.
 




Asante kwa wasifu huo. Nilimwona Mara ya kwanza akiwa ni mwalimu shuleni ya msingi iliyo jirani na Lugalo sec school nikiwa form one 1977 na akapotea pale. Nikaambiwa kwenda jeshini. Walikuwa kijeba toka zamani na pia sauti Kali na ya amri amri tu. Uaskari na uimbaji na pia kuongea roughly ndo nilikuwa legacy yake. Umenikumbusha vizuri sana.
 
R.I.P Mh,captain Komba. Ulisema utakwenda msituni kumbe Mungu amekupenda zaidi kakuchukua kabla hujaenda msituni.
 

Kukataza watu wasisemee mabaya alokuwanayo ni UNAFKI wa hali ya juu, watu wamepima wakaona mabaya yana uzito kuliko mazuri ndiyo maana wanayasemea, hiyo haikuzuii wewe unayeona mazuri mengi kuliko mabaya kusema!

Hawa wazee (Warioba) wanakaribia kufa - Captain John Komba
 
“Kwa hakika, sina maneno ya kutosha kuelezea kwa fasaha
hasara ambayo taifa letu na chama chetu kimepata kutokana na kifo cha Kepteni
Komba. Taifa letu limepoteza hazina kubwa na mtu
muhimu"

Kauli ya Raisi Kikwete juu ya kifo cha Komba.

Kwendraaaaaaaaa inji imepata faida

Katika wapuuz wa nji hii jon was among them rest in hell jon
 
MACCM hovyo sana. chuki mmezipanda wenyewe mioyoni mwa watanzania lakni mnategemea eti wawe na upendo, utoke wapi upendo? mnaotesha mapapai halafu mnategemea kuvuna mahindi kama si ujuha ni nn hiyo sasa?!! vichwa vyeti mnavipasua kwa marungu ya mapolisi, marafiki zetu mnawapasua utombo kwa mabomu ya mapolisi, ndugu zetu albino mnawakatakata viungo, meno na kucha zetu mnaving'oa bila ganzi, mali zetu mnakwiba na kwenda kuzificha uswizi huku sisi tukiteketea kwa njaa na magonjwa yanayozuilika....i mean mnatufanyia kila aina ya dhulumati halafu cha ajabu mnategemea eti tuwe na upendo nanyi. tufanyieni dhulumati lakini jueni nanyi pia ni binadamu, hata kama itachelewa lakni kwa kuwa ninyi nanyi ni binaadamu siku yenu itafika tu one day....

chuki mlizotujaza zimejaa vifuani mwetu lakin kuna siku ya siku chuki hizo zitalipuka.
 

Uko sahihi mkuu, kifo ni utaratibu uliowekwa na mwenyezi Mungu na kila nafsi itaonja mauti. Wanadamu wa sasa tumefikia hatua ya kutoogopa kifo, hivyo tunabeza mipango ya mwenyezi Mungu. Kifo kinapototokea tunayo nafasi ya kujifunza kwa mazuri au mabaya hivyo kubadilika katika mtazamo chanya. Kama tunafikia hatua ya kuchekelea kuondoka kwa binadamu mwenzetu, tutarajie yatukute hayahaya tunapofariki!
Inasikitisha sana !
RIP KOMBA!
 
Inasemekana Komba alishajipanga studio kutoa vibao vya kumpigia kampeni Lowassa
 

Kwa kweli Komba kaacha Majanga Nyuma aliendekeza Michepuko kasahau kulipa Madeni ya Benk.
 

Chukua 10 kabisa!!!
 
Kifo hakiwezi kumuondolea mtu dhambi zake,kama ni hivyo,kila mtu angetamani afe ili dhambi zake zifutwe. Komba pamoja na kwamba katangulia mbele ya haki hakumpi nafasi ya kuwa mwema sana kwa maneno na kauli zake za dharau,chuki nk.
Hata tukiweka uzito(weighting) bado mabaya ya komba yatakuwa mengi kuliko mazuri yake. Tusitumie vifo kutakasa dhambi zetu na kusafisha watu waliokuwa hawana utu na kuombea watu wengine vifo.
 
Ufisadi pesa za TOT na Michechepuko ndiyo ilikuwa Tatizo kubwa.
 

Muwaambie CCM waache kutupeleka mistuni na kutuacha huko nusu wafu! Hivi nikuulize swali; je yule mama muuza pombe aliyeuawa kule Ilula kwenye purukushani ya Polisi kusaka watu wanaokunywa pombe saa za kazi ili kumfurahisha mtoto wa mkulima angekuwa mzazi wako ungejisikiaje!? Halafu hiyo pombe saa za kazi kwani walianza kunywa siku ile ya purukushani na msako!? Siku zote mnawatafutiaga pesa ya kula nyie!? Polisi walitumwa na nani!? Walianzisha msako ili kumfurahisha pinda!? Wacheni huo upuuzi wenu!? Wengi tunaumizwa na dhuluma inayofanywa na CCM!
 
mi sijaona hasara yoyote kufa huyu mzee acha afe tena kaburi walichimbe 10 feets under asije fufuka alijifanya sana eti ataingia mistuni
afeeeeee nyangau kabisa
 

Mungu hoyeeeeee bado joka la makengeza na profesa magumash
 
hakujitengenezea mi single yake siku atakapo kufa au kazi ilikuwa kuwatungia wenzake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…