Capt Yared Getachew

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,375
Reaction score
6,986
Mtoto toka familia bora kabisaaa baba na mama yake wote wana title ya Dr. Baba ni raia wa Ethiopia na mama yake ni mkenya Dr.Rayan shapi. Kijana huyu ana uzoefu wa kuruka na ndege masaa 8000 aliaanza kurusha ndege akiwa na umri wa miaka 17 na mwaka 2007 ndio alianza kurusha ndege za kubeba abiria.
(Najiuliza hapa miaka 17 mm nilikuwa bado napambana na NECTA enzi za Dkt. Ndalichako kqbla hajawa prof )


 
Ndio Nani huyu
 
Elimu ya tanzania hovyo mpaka unafikisha miaka 25 hujajua utafanya nini katika maisha yako
 
Ndio Nani huyu
Upo kijiji gan ndugu ? Na je wakati una miaka 17 ulikuwa unapambana na Nacte ? Mwenzako huyo miaka 17 alikuwa kashaanza kurusha watu angani ...huyo ni rubqi wa ndege ya ethiopia iliyopata ajali majuzi hapa kule ethiopia......nina wasiwasi miaka 17 ww ulikuwa hujui hataa kuendesha baiskeli
 
RIP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…