Capital Market and Securities Authority Interview

Capital Market and Securities Authority Interview

ukwama

Senior Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
136
Reaction score
83
CMSA invites you for interview 11.2.'15, from 8am law School of Tanzania near SIMU 2000 stand Ubungo. Procurement, Legal, Records & HR. Ref. Guardian 23.1.'15
 
Last edited by a moderator:
kakwambia ref guardia ya 23.1.2015,af bado unauliza source??????

Kumuuliza source nina maana yangu,hiyo reference ya the guardian la trh 23.01.2015 ambayo na mm nililiona ni ile ya majina ya interview ya mara ya kwanza ambayo watu walienda lakini usaili ukawa postponed!so hyo ref aliyoitoa ni outdated!
 
Naomba source ya hi information.

Hiyo ni sms nimetumiwa Leo na inaonekana imetumwa kwa wote ambao majina yapo kwenye gazeti la Guardian la tarehe hyo ila unaweza fuatilia hilo gazeti kama upo hz interview ambazo huwa znaonekana kama haziko serious hv watu hapa ndipo upata upenyo wa kutokea
 
Gazeti la Guardian la tarehe 23.1.2015 lilitaja kuwa Interview itafanyika jumanne ya tarehe 27.1.2015. Je haikufanyika? ndio maana wameamua kutuma sms kwa walioitwa interview?
 
Duh.. mbona wengine majina yetu yapo kwenye gazetil ila hatujapata sms za kwenda kwa mara nyingine?
 
CMSA invites you for interview 11.2.'15, from 8am law School of Tanzania near SIMU 2000 stand Ubungo. Procurement, Legal, Records & HR. Ref. Guardian 23.1.'15

Mm nmetumiwa email kuwa tar 10 Feb, 2015 ni usaili wa Financial Analyst na Planning Officer tu!, ila wakasema nitizame gazeti la The guardian la tar 23. Hilo gazeti silioni na wala mara ya kwanza sikuenda na tena nilikuwa sijui. Sasa naomba aliyeona idadi ya watu kwenye post ya Planning Officer anijuze tupo wangapi? ili nijihukumu kabla sijaanza kufunga safari. (Dar - Kigoma for written interview). Naombeni nione majina, au kwa msaada zaidi Naombeni majina yaliyoanzia na jina la kwanza Paul,...... pamoja na idadi kamili ya walioitwa
 
Naomba source ya hi information.

Mi sikuwa na taarifa hata ya hilo gazeti la Guardian, nashangaa nimetumiwa sms,na email juu kuhusu interview.kwenda kutafuta gazeti jina langu hakuna;sasa najiuliza je wako serios au?ndo kusema wengine ambao majina yao yapo gazetin na hawajataarifiwa wamepigwa chini na sisi wengine tumeitwa au....najiuliza tuu maana tusije kupotezeana muda bureeeeeeeeee
 
gazeti ninalo planning officer mko zaidi ya 250

Asante sana, hapo nadhani nafasi zitakuwa chini ya 5 maana nimesahau wanahitaji watu wangapi. Thanks, nawatakieni kila laheri mtakaohudhuria tarehe 10, kutokana na gharama za maisha kwa mm niliyeko mkoani siwezi kufika kufanya written then nirudi tena for oral. All the best guys!!!!!!!!!!
 
tangazo lao la kazi la mwezi wa 4 mwaka jana planning officers nafasi ni 2 na financial analysts nafasi 4!
 
Mwenye gazet aniangalizie legal affairs waliitwa wangap?
 
Na je wanaoenda tarehe 11 ni written or oral interview? Tafadhali nielewesheni mwenye gazeti.
 
Mkuu niangalizie legal wameitwa wangap na ni written au oral? Tafadhal
 
tangazo lao la kazi la mwezi wa 4 mwaka jana planning officers nafasi ni 2 na financial analysts nafasi 4!

Wasailiwa 250+ kwa nafasi 2. Hivi hawa watu huwa wanaingia mkataba na wamiliki wa mabasi ya kwenda mikoani au inakuaje?, Mimi nahisi mashirika yanayofanya hivi wanampango mbaya na watanzania waishio nje ya Dar es salaam, Kwanini wasiite watu wachache tu?, Jamani muwe mnatuonea huruma japo sio lazima kufika ktk interview zenu, interview za namna hii huwa nakuwa sina imani na shirika husika,labda uelewa wangu upo tofauti na wao. Wamiliki wa mabasi yatokayo Dar kwenda Mikoani inawezekana wanakuwa na Mkono mrefu kupitia interview za namna hii, ni Mtazamo wangu tu jamani!. Hata ukifikiri japo kidogo huwezi ukaita watu 50 kwa nafasi za kazi 2. Kupata kazi ni ngumu kwa miaka hii lakini sio kwa namna hiyo bwana. Matumizii mabaya ya rasilimali nchini, iteni wachache alafu muwe mnawarudishia nauli zao itaonekana ni uzalendo kuliko hiyo staili ya 2post by 250+ people
 
Back
Top Bottom