Canvas and wallpaper

Canvas and wallpaper

jangala22

Senior Member
Joined
May 20, 2021
Posts
165
Reaction score
141
Habari wanajamvi, nahitaji kujua Kwa hapa Tanzania wap wanafundisha kutengeneza canvas pictures na wallpaper za majumbani.

Natanguliza shukrani.
 
Udom ipo Kozi ya Design na Fine art, unachotaka wewe ni kitu kidogo ambacho mtu hawezi anzisha kozi ikajitegemea.

Ushauri tafuta ofisi wanayofanya hizo kazi, omba ukajifunze.
 
Udom ipo Kozi ya Design na Fine art, unachotaka wewe ni kitu kidogo ambacho mtu hawezi anzisha kozi ikajitegemea.

Ushauri tafuta ofisi wanayofanya hizo kazi, omba ukajifunze.
Sawasawa mkuu nashukur Kwa ushauri mzuri [emoji120]
 
Back
Top Bottom