Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Jan 11, 2012 #1 Imripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari leo kwamba mwanasoka nguli duniani Erick Cantona amejitokeza kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao nchini Ufaransa
Imripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari leo kwamba mwanasoka nguli duniani Erick Cantona amejitokeza kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao nchini Ufaransa
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,305 Jan 11, 2012 #2 ERII CAn toNAA da umenikumbusha mbali sana
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jan 11, 2012 #3 kama alishindwa kumvumilia mshabiki mmoja ataweza kuvumilia maandamano ya mamilioni wenye kudai haki? akajifunze ukocha ndiyo fani yake.
kama alishindwa kumvumilia mshabiki mmoja ataweza kuvumilia maandamano ya mamilioni wenye kudai haki? akajifunze ukocha ndiyo fani yake.