Yes, Mitsubishi Canter, ni nzuri, iwe flat. Ni wazo zuri, mhimu zingatia ushauri wa wadau humu ndani ktk uendeshaji wa hiyo biashara, mhimu sana ni uhusika wako ktk hiyo Gari, usimpe tu Dreva ukawa mguu juu ikisubiri mapato tu. Otherwise good idea, maana sekta ya usafirishaji bado ina fursa for someone to take off.
Na ukihitaji hiyo gari basi tafuta iliyosimama Sana yenye clear and clean history kama ni used Tz. LA ukiweza jikunjue IAGIZWE TOKA NJE, au ukiweza showrooms TZ.
Ukipenda kututumia sisi, KAMA NI KUAGIZA, basi usisite, tutaijadili gari yako, Na kisha tutakuagizia bila Tabu.
Sent using
Jamii Forums mobile app