Canter tan 2.5 bei gani?

Canter tan 2.5 bei gani?

Kwa wale wauzaji wa magar.nahtaji canter tan 2.5 au tan 2.bei gani ?

Ukikosa hapa bongo tupe kazi tukuagizie Japan kupitia kampuni yetu www.kalumbiloe.computer
Nakuhakikishia utaipata hiyo canter kuanzia mill 18 hadi ipo barabarani na haidaiwi.
 
Back
Top Bottom