bro kay
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 254
- 222
Wakuu mambo zinaendaje?
Msaada kwa mwenye kujua, simu yangu samsung note 3 haipokei wala kutoa kitu chochote kinachohusian na whatsaap yaani message, picha wala video kama ntakonnect na mobile data. Na bundle lipo na kubrowse kawaida naweza kubrowse tena kwa spid ya ajabu.
Ila cha ajabu inafanya kaz vizur sana nikiconnect kwene wifi. Je shida n nini?
Msaada wakuu