Agape Kama G
Member
- Feb 19, 2013
- 59
- 9
Kuna some Documents nimeweka kwenye "external disk" kutoka kwa Windows user,ila baadaye nilipo taka kuzi delete zina kataa na hiyo nime jaribu kwenye windows 8 na Ubuntu 14.04...
Shida hapo itakuwa ni nini?? na Nina solve vipi hiyo challenge?
Shida hapo itakuwa ni nini?? na Nina solve vipi hiyo challenge?