Niliwahi kununua printer HP Officejet Pro L7480, Printer matata sana yenye copier na scanner. Wino inatumia HP ink cartridge 88 rangi nne, ambazo zimekauka kwenye soko letu mwaka wa kumi sasa ingawa bado inapiga kazi. Anayeweza kujua mahali hizo ink zinapopatikana .... Tuwasiliane!.