jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Kwa hiyo umewaacha serious buyer huko PM umekuja kujibizana na mpitanjia ukitegemea utauza hiyo camera!!!!!?
Madhara zaidi unazidi kuya expose mwenyewe!!
Ukiyatajiwa kinagaubaga unaanza kulalamika "oooh mungu anakuona"
Nasisitiza tena hiyo Camera hutaiuza mpaka u behave in public.
Madhara zaidi unazidi kuya expose mwenyewe!!
Ukiyatajiwa kinagaubaga unaanza kulalamika "oooh mungu anakuona"
Nasisitiza tena hiyo Camera hutaiuza mpaka u behave in public.
Unadhani ni nyanya hizi, zile zama za mteja ni mfalme zmeishapitwa na wakati na wateja washakuja pm wakutosha waluo serioz
Alaf unaweza kuta nabishana na KAOGE ngoja nikuache tuu