Kwa canon kuifanya CISS inawezekana lakini ugumu ni upatikanaji wa CISS systems zake hata mafundi wanazikimbia. Pengine uagize ciss kutoka nje ya nchi. Kuhusu kuRefill cartrieges inawezekana tu kama printer zingine lakini haitakupa uhuru kama printer yenye ciss