masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,376
- 19,251
View attachment 159119
Vicky Kamata ameumbika wajameni, nadhani alimuweka Mungu maabara muda mrefu
View attachment 159119
Ugonjwa umekaa mahala pabaya sana sasa mrembo kama huyu jamani sijui ni nisem nisesememe
Nimeshikwa na kigugumizi cha ghafla ngoja nimalizie kusema ukweli - analipa
KIFO sababu wameshakuwa wakubwa uzee unakuwa karibu na baada ya uzee kinachofuata kufukiwa shimoniwakubwa wanafaiiiiiiiidi baadae ...............