Can you do it

Mimi naamini yaweza tokea kweli.
Ila kumpata mtu wa hivyo ndo kazi ilipo
 
dah hili deal mpelekee raymond kigosi fasta bonge la muvi
 
Dah tushazoea hadith za Mzizimkavu haziishi bila kutaja jini
 
[h=5].....Pamoja na vyote lakini kumbuka mnachaguana ili kuishi kwa shida na raha na haijalishi nani ananunua mahitaji ya nyumbani au kulipa bili kwa sasa.........[/h]

Ngumu sana hii...One in a billion! Kwenye hali kama hii...wanawake wengi (miezi 6 baada ya ndoa) huita mumewake "mwanaume suruali"
 
Hivi mwanaume wa hivi yupo duniani? Kama yupo naomba Mungu anikutanishe nae.
 
Unaweza kumvumilia mwanaume hata kama hana kazi but tatizo akipata kazi na pesa ya kutosha, maaanina.......utalala peke yako usiku, hufai kutoka nae out, wewe sio mnzuri tena, hujui kutumia maneno kibaoooo, utaishia kuliaaaa weee mpk utakufuru mungu awatie umaskini tena,
Pesa humbadilisha mtu.
 

sio wote mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…