Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani wewe Extrovert ndo nini kumiambia yote hayo?

Kisa ni hela???
Penzi bila hela limepooza kama mchuzi usiokuwa na ndimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba No yako Dada kama Una sura nzuri na Kalio lipo ha ha haaaa
Kwanini vijana huwa mnadanganyika na miandiko ya Jf.

Jf wake kwa waume wengi hawafanani na wanayoyaandika.
Watch out, usisemeee ukuambiwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani wewe Extrovert ndo nini kuniambia yote hayo?

Kisa ni hela???
Penzi bila hela limepooza kama mchuzi usiokuwa na ndimu
Nyie watoto wa kike bana toeni bure kama mlipewa bure 🤣🤣🤣 biashara gani mnaleta hizo!
 
Aaah mpareee kama nakuona!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu anza kupenda bwana ni fahari sana kwa mwanaume kumhudumia mwanamke wake. Ukiona kwako sio fahari ujue kuna shida mahali. Hebu anza mazoezi.
Nahudumia ila sio kila mwanamke, wengine inabidi tule kitonga tusije tukachakaza clutch!
 
Chief Relation Officer huyo! 🤣🤣🤣
 
Kwani nikitafuta ni vibaya?
Ulishawahi kuwaza siku ukitangulia kufa kabla ya mkeo itakuwaje.
Kiasili hutakiwi kutafuta pesa, zaidi ya kukaa uletewe pesa basi. Ushawahi kuwaza kisu siku ukianza kufa kabla ya mumeo ?

Hilo siyo jukumu langu la kuwaza, sababu analea na kutoa rizki ni Mola muumba,na wanaweza wakaishi vizuri zaidi baada ya mimi kufa kuliko nilipokuwa hai. Tatizo huwa mnaingilia majukumu ambayo kwa vyovyote vile siyo yenu na huwezi kuyadiriki.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah ulivyosema msemaji mkuu umenikumbusha mbali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo wa kucopy na kupaste huko aliko nadhani ni usiku wa manane

Maana muda ule huku bongo ilikuwa saa 11 jioni yeye alisema ni saa5 asubuhi
Oohh kumbe ilikuwa saa tano asubuhi sasa nimeelewa. Mwanzo nilijua kamaanisha saa tano usiku ndiyo maana nikabaki najiuliza hiyo EDT mbona ni ya magharibi na siyo ya mashariki na kwa kawaida nchi zote za magharibi ziko nyuma yetu kimuda.

Lakini mbona kama aliaga usiku mwema au mimi ndiyo nilisoma vibaya
 
never on earth, labda kama zimepanda ghafla unataka azishushe
 
Reactions: amu
Wewe hornet na Zoe mnahangaika kuandika kizungu wee
Kumbe mwenzenu anapaste tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu wengine tunahangaika na makamusi ya oxford hapa kumbe mwenzetu anateleza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…