Na asipokupa unajiskiaje? Unajiskia kuonewa au unaona normal tu? Je unajiskia kama kutotimiziwa mahitaji yako muhimu? Funguka.Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hell,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Najisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..Na asipokupa unajiskiaje? Unajiskia kuonewa au unaona normal tu? Je unajiskia kama kutotimiziwa mahitaji yako muhimu? Funguka.
Kama ni kweli basi Mungu akusaidie uendelee hivyo hivyo.Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hell,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Jaman wale mnaotafuta wife material, ameshapatikana huku!!!Najisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..
Wananitunza vizuri sijawahi kosa chochote.
Inategemea dating yenu ipoje..Kama ni kweli basi Mungu akusaidie uendelee hivyo hivyo.
Muda fulani mabinti huzidi kiasi kwamba unakuta mtu ana kazi yake nzuri lakini matumizi yote kwa mwanaume. Mimi huwa naona huko ni kujidhalilisha tu na kujishusha.
Ila muda huo usiniambie habari za sex..Jaman wale mnaotafuta wife material, ameshapatikana huku!!!
Hongera!
Kwenye matatizo hakuna shida, ila kuna mambo mengine kama mavazi, saluni, sijui nyweli, vocha n.kInategemea dating yenu ipoje..
Kwa wale wanaofofus kwenye ndoa sidhani kama hizi tabia sitakuwa.
Mimi nadhani mwanaume ana akili timamu na ana uelewa kabisa...sehemu yenye ulazima wa kutoa (mf kwenye matatizo)atatoa bila kuambiwa.
Kila mtu ana style Yake ya maisha..Kwenye matatizo hakuna shida, ila kuna mambo mengine kama mavazi, saluni, sijui nyweli, vocha n.k
Yaani vitu vidogo vidogo ambavyo anaweza mudu lakini as long as ana boyfriend hafanyi lolote.
Kwahiyo kutokuomba kwako hela kote mpaka leo hujaolewa bibie...? Anza kuomba tuIla muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
Ni kweli inategemeana lakini mahusiano mengi ya siku hizi yako hivyo.Kila mtu ana style Yake ya maisha..
Kila watu Wana namna wanakubaliana kuendesha mahusiano yao.
Kwahiyo inategemeana.
Niombe za Nini?Kwahiyo kutokuomba kwako hela kote mpaka leo hujaolewa bibie...? Anza kuomba tu
Sasa ni date au penpal?Ila muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
Pengine ni makubaliano..Ni kweli inategemeana lakini mahusiano mengi ya siku hizi yako hivyo.
Endangered species...Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.