Can we still donate blood????????

sixlove

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
549
372
ndugu wa JF, mimi ni mtoaji maarufu sana wa damu, nimeshatoa damu mara tano. Hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuumwa na paji la uso hali maarufu kama kipanda uso, nilipima damu mwezi uliopita nikaambiwa damu yangu ipo 90/100. Je ni kweli ukiwa natabia yakutoa damu unakuwa na damu nyingi mwilini hali hii inapelekea kuwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara. nahitaji msaada wenu wakuu
 
Pole!Ila wanasema ukiwa unatoa damu inabidi baada ya miezi mitatu,upime then km imeongezeka utoe.Ngoja wataalam waje kwa undani zaidi.
 
Pole sana.

Endelea kutoa damu. Jifamu kuwa wewe ni mwokozi wa umma.

Frontal headache yaweza kuwa ni sinusitis au kama ni upande mmoja pia yaweza ikawa migraine. Hata malaria unakuwa na frontal headache. Chunga afya yako ili uendelee kuokoa.
 
thanks guys for ua vital answers, I appreciate you all
 
Back
Top Bottom