Nimefuatilia mwenendo jumla wa mijadala hapa JF kwa siku za karibuni, imeona kama tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele!
Siku hizi watu wamekuwa wakivutiwa zaidi na mambo rahisi na udaku. Yaani kwa ujumla asilimia zaidi ya 80 ya wachangiaji hapa JF wanapenda mijadala rahisi rahisi inayojadili watu na matukio tu! (people and events).
Na hii imeshika mizizi zaidi baada ya uchaguzi wa 2010, nadhani ni uchaguzi mkuu wa kwanza katika maisha ya JF.
Tangu hapo mijadala imekuwa ya matukio ya uchaguzi, matukio ya kisiasa, kashfa za kidini na vitu kama hivyo. Je JF kama jamvi la GREAT THINKERS hatuwezi kuwa na mijadala bora zaidi ya hii ambayo hata vijiweni wanaifanya?
Hatuwezi kujadili kwa mfano:
Na issue kama hizo.
- Spiritualism badala ya religion?
- HIV AIDS na impact zake kwa next generation?
- World economic recession?
- Doctrine of waging pre-emptive wars?
- Moral philosophies?
- Socio-economic philosophies?
- Modern science inventions?
Nadhani hii ingepelekea wasomi wetu ambao naamini wapo humu JF wakatupa michango yao ili taifa linufaike kwa taaluma zao.
Hii ya CDM, CCM, MAGAMBA, UFISADI n.k tunaweza kuijadilli lakini isiwe ndio main theme ya forum hii!
Nawakilisha!
Yeap, kwa case ya spiritualism kwa mfano, mimi nimewahi kuhudhuria tambiko la kuomba mvua la kabila fulani baada ya ukame wa miezi mingi, amini nawaambia kabla tambiko halijaisha vizuri wingu lilitanda mvua ikaanza kunyesha! Je, hapa zilikuwa nguvu zipi? Za shetani kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini? Au ile habari ya kule Ukerewe jiwe linacheza likiimbiwa! Naambiwa mkuu wa mkoa aliona maajabu haya, how do yo explain that?
this is wonderful ideaNimefuatilia mwenendo jumla wa mijadala hapa JF kwa siku cf za karibuni, imeona kama tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele!
Siku hizi watu wamekuwa wakivutiwa zaidi na mambo rahisi na udaku. Yaani kwa ujumla asilimia zaidi ya 80 ya wachangiaji hapa JF wanapenda mijadala rahisi rahisi inayojadili watu na matukio tu! (people and events).
Na hii imeshika mizizi zaidi baada ya uchaguzi wa 2010, nadhani ni uchaguzi mkuu wa kwanza katika maisha ya JF.
Tangu hapo mijadala imekuwa ya matukio ya uchaguzi, matukio ya kisiasa, kashfa za kidini na vitu kama hivyo. Je JF kama jamvi la GREAT THINKERS hatuwezi kuwa na mijadala bora zaidi ya hii ambayo hata vijiweni wanaifanya?
Hatuwezi kujadili kwa mfano:
Na issue kama hizo.
- Spiritualism badala ya religion?
- HIV AIDS na impact zake kwa next generation?
- World economic recession?
- Doctrine of waging pre-emptive wars?
- Moral philosophies?
- Socio-economic philosophies?
- Modern science inventions?
Nadhani hii ingepelekea wasomi wetu ambao naamini wapo humu JF wakatupa michango yao ili taifa linufaike kwa taaluma zao.
Hii ya CDM, CCM, MAGAMBA, UFISADI n.k tunaweza kuijadilli lakini isiwe ndio main theme ya forum hii!
Nawakilisha!
Mwaga thread tuchangie boss naunga mkono hoja.