hili condition limeniacha hoi kidogo This is from a friend, anaogopa akiileta mwenyewe people might starting guessing!
It can work out depending on the seriousness, devotion, involvement and dedication of each and every one in that relationship they are about to start or on the other way way round in that relationship which they have already started...
Well it depends alipokuwa ana flirt na wewe was it intentionally au alikuwa anafanya tu ili mradi aone kitakachotokea huko mbeleni, as well when it comes to flirting hakuna kinachojificha hata kama akifanya na mtu mwingine kwa kuficha sooner or later you'll come to know.Lakini, ukichukulia the way we met; na we both know how the other person flirts around, huoni itakuwa full wivu na kutoaminiana.
Lakini, ukichukulia the way we met; na we both know how the other person flirts around, huoni itakuwa full wivu na kutoaminiana.
Shosti flirting ndo inayoanzisha mahusiano atii bila flirting hakuna kitu and its only natural (navyoamini mimi). usijali kuhusu hiyo we jiachie tu kama mmejikuta mnapendana. ulitumia kinga hiyo mlivyokutana????
Tatizo la kukutana kwenye cyber.... you can never really know the person vile ipasovo asipotaka yeye mhusika... Kwamba woote lied kua they were married, inabidi kuiangalia kwa ndani, naamini kabisa rafiki yako atakua kweli hajaolewa... but kwa mwanaume kuna uwalakini, ni rahisi kwa mwanaume kuficha kaoa kuliko mwanamke... isije ikawa kua mwanaume kapenda alicho kikuta kwa huyo dada mpaka kaamua kujifanya hajaoa baada ya kusikia the lady hajaolewa... (enways hizi ni assumption) but apart from that if kweli wamependana... they have clicked, had sex and still wote bado wahitajiana.... then they are both really Lucky na there is nothing to pull them back if they want to move forward....
Well it depends alipokuwa ana flirt na wewe was it intentionally au alikuwa anafanya tu ili mradi aone kitakachotokea huko mbeleni, as well when it comes to flirting hakuna kinachojificha hata kama akifanya na mtu mwingine kwa kuficha sooner or later you'll come to know.
So it's the matter of taking it slow get to know each other first and see how things go before you decide to start pressing the green button....maana umesema for those eights months walikuwa wanapeana fake information...sasa kwa eight months kupeana fake information (It's not a joke) it's something that one must be really carefully it might be for good/bad intentions lakini still they need to get to know each other very well....and i mean..very....very well
uncanny like. sasa wajua mie naona hamna noma u guys shagged and just keep it at frenda woth benefits nothing more. not bwcoz u met on cyberapace but necoz u far away from each other. long distance dnt work. have fun and just leave it at that.
Lol...kuna usemi unasema "Penye Nia Pana Njia" so lets hope this relationship turns out to be positive for both of them i understand she's your friend lakini kitu cha msingi cha kumwambia before they move a step ahead further they should get to know each other vizuri..and when she's satisfied she can think of another step ahead..Lemme take my position kwanza.
I think, wote hawakuwa serious at first, na kitu kikadevelop na interest ya kukutana ikawatawala; then wali decide to meet (out of curiosity) n l guess at least my friend anaanza kufeel something otherwise asingeniomba niilete hii. You are right though huenda huyo mwanamume anaweza kuwa bado anafake.
I wish it was you, maana ungefunguka humu hopefully na kumpa your stand my friend. LOL
Kwanini ni mtihani?Thanks, kwa ushauri mzuri; kweli hiyo kitu ya distance hata kama they are both serious ni kamtihani! Friends with benefits would suit with me, and l hope she might find it as an arrangement pia; mradi asifall kihivyo.
Go for it, mapenzi hayana formula.
Wangapi wameumizwa vibaya na wapenzi waliowafahamu tangu wakiwa watoto?
Bora u-enjoy full kuliko ku-hold on hisia zako.
We dont fall in love many times, Remember!
Nimekutana na mkaka online JF, tukaflirt sana PM huku tukipeana fake info about each other kwa muda kama wa miezi 8 hivi.
Alinidanganya ameoa nami nikamdanganya kuwa nimeolewa. alinidanganya ameajiriwa kumbe kajiajiri nami nikamdanganya kuwa nina kazi tofauti na ninayo ifanya, kifupi ilikuwa full usanii and we enjoyed it.
Recently, 3 weeks ago, we decided to meet in person, and have fun (sex included; najua kuhusu morals, so sihitaji ushauri kwenye hiyo angle); we had real good tym by real l mean real, (at least on my side) and l think l am starting to fall in love. He also says he feel the same way. Tuliongea mengi, including kuendeleza this relationship from casual thing to uhusiano wa boyfriend girlfriend; sasa swali langu can this real work?
Napata mashaka kwa sababu hizi hapa chini.
1. Tunakaa mbali mbali
2. Najua he is a flirt kama mimi nilivyo
3. Napenda vibaya na ndiyo maana najizuia kupenda
Labda kuna watu humu wamekuwa na similar cases, pls nishaurini/tushaurini.
This is from a friend, anaogopa akiileta mwenyewe people might starting guessing!