Ramthods JF-Expert Member Joined Jun 2, 2009 Posts 515 Reaction score 187 Nov 8, 2013 #1 Wakuu, Nimenunua SIMTANK la lita 2000, kwa bahati mbaya likaanguka, likachanika. Limechanika kama nusu mita hivi. Nilitaka kujua kama kuna uwezekano kwa ku repair. Kama una mjua mtu anaeweza ku repair, naomba nifahamishe. Natanguliza shukrani. Ram
Wakuu, Nimenunua SIMTANK la lita 2000, kwa bahati mbaya likaanguka, likachanika. Limechanika kama nusu mita hivi. Nilitaka kujua kama kuna uwezekano kwa ku repair. Kama una mjua mtu anaeweza ku repair, naomba nifahamishe. Natanguliza shukrani. Ram
Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Nov 8, 2013 #2 Pm namba yako yupo