Habar zenu wakuu,
Nina sumbuliwa na uono hafifu ni mwaka wa saba sasa huu navaa mawani yenye lense ya minus 5 na
sioni mabadiliko yoyote ya kuboreka kwa uono wangu.
Ni njia gani nitumie kuweza kuboresha uono wangu na vitu gani ni epukane navyo ili kuzui tatizo kuwa kubwa.
siku za karibuni kumejitekeza tatizo la kuvaa miwani kwa watoto wenye umri chini ya miaka 15 hasa walio shuleni,nini chanzo chake hasa na ni kipi cha kufanya ili kutopata taabu hii?wataalamu okoeni kizazi hiki.
Habar zenu wakuu,
Nina sumbuliwa na uono hafifu ni mwaka wa saba sasa huu navaa mawani yenye lense ya minutes 5 na
sioni mabadiliko yoyote ya kuboreka kwa uono wangu.
Ni njia gani nitumie kuweza kuboresha uono wangu na vitu gani ni epukane navyo ili kuzui tatizo kuwa kubwa.
Habar zenu wakuu,
Nina sumbuliwa na uono hafifu ni mwaka wa saba sasa huu navaa mawani yenye lense ya minutes 5 na
sioni mabadiliko yoyote ya kuboreka kwa uono wangu.
Ni njia gani nitumie kuweza kuboresha uono wangu na vitu gani ni epukane navyo ili kuzui tatizo kuwa kubwa.
ni 21 niliambiwa mkuu baada ya kupimaUna umri gani na je uliambiwa una myopia au unahisi kuwa unayo?
ni 21 niliambiwa mkuu baada ya kupima
Ulipima hospitali gani na je unaona vizuri karibu huku ukiwa huoni vizuri mbali au huoni vizuri karibu na mbali?
nilianza na minus 5.1 kwa 4.9 ila kila mara zilikuwa zikibadilika
Mkuu hizi mewani nazo huwa zinaongeza tatizo.Jitahidi kutafuna karoti au kunywa jwisi yake.Pia kula sana spinach.
kuna mda zilipungua mpaka minus 4.8 to 4.9 ila miezi sita iliyopita nilipima nikakuta zote minus 5 so zimeongezekaSo kwako minus zinapungua au zinaongezeka???
nilipima tinnah optical clinic au wanajulikana kama shumahofa siuoni vizur mbali na kila muda unavyoenda uono wangu wa kuona karibu unazid kufifia