Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 83
1) You can't go out to late night dinners together. You can have lunch together in a public place, but you should not order alcoholic beverages. "The embers of attraction really can grow in situations like that, and suddenly it's not so innocent, it's not just friendship anymore," Rabbi Shmuley says.
2) You can't take long drives or long flights with the other person, even if it's for work. "Even if you have to work with a colleague [of the opposite sex], there are still certain boundaries you need to preserve," he says.
3) You cannot place yourself in any situation where romance can grow. "Romance grows when people are alone; romance grows when people tell secrets," Rabbi Shmuley says.
4) You can't share secrets with a platonic male or female friend that you don't share with your spouse. "Because then you're sharing an exclusivity with a member of the opposite sex that you're not with your partner, and that can lead to a big no-no," he says.
5) You should not be friends with ex-lovers.
Nawakilisha.
kwa nature ya binadamu ni vigumu sana kuwa marafiki kwa jinsia tofauti, yaani mwisho wa yote itakuwa ni ngono tu
Inawezekana kabisa kuwa na urafiki kati ya mwanaume na mwanamke bila kuwepo ngono.
Nina rafiki wa kike tunafanya nae kazi watu wengi hawaamini kuwa sisi sio wapenzi,ni rafiki wa kawaida tunashauriana,taniana,kula pamoja na hata kuna mara 1 tulisafiri pamoja tukakosa nafasi na kupata chumba kimoja chenye vitanda 2 tukalala pamoja,kila kitu ni akili yako tuu.
...bora useme wewe kiazi, nikisema mimi muhogo naambiwa mchungu!
hii kitu kwa mwanaume inakuwa ngumu haswa mwanamke akiwa mzuri, yaani huwezi kuvumilia wewe unacheka naye halafu wajingawajinga wanamega, wengine tulikwisha jaribu tulipoona majina ya mshika pembe, kibuzi madesa yanaanza tukamega faster na urafiki ukafilia mbali.bora urafiki ufe lakini uitunze hadhi yako ya kiume aaaaggghhhhrrrrrrrrr
...bora useme wewe *****, nikisema mimi ****** naambiwa 'mwongo'!
Kiazi? sijaelewa hapo
...pole Lagatege, ni msemo tu wa kiswahili, i hope ukisoma hapo juu utaelewa sasa.
Umewasoma wachangiaji recently? wanasema 'haiwezekani' unless utakuwa na upungufu wa 'matamanio' kwa jinsia ya kike,...😀
Duuh-I had a bad experience.Nilimsaidia mke wa rafiki yangu kusudi warudiane na nilikuwa nikimuita dada na yeye akiniita kaka,kumbe loooh,akafikiri ushauri ninaotoa mimi ndio nilivyo,kosa ilikuwa kutamka kuwa "I will make sure you are happy" sikujua what happened tuna baby boy!
Duuh-I had a bad experience.Nilimsaidia mke wa rafiki yangu kusudi warudiane na nilikuwa nikimuita dada na yeye akiniita kaka,kumbe loooh,akafikiri ushauri ninaotoa mimi ndio nilivyo,
kosa ilikuwa kutamka kuwa "I will make sure you are happy" sikujua what happened tuna baby boy!
...pole Lagatege, ni msemo tu wa kiswahili, i hope ukisoma hapo juu utaelewa sasa.
Umewasoma wachangiaji recently? wanasema 'haiwezekani' unless utakuwa na upungufu wa 'matamanio' kwa jinsia ya kike,...😀
Mi nina mke na watoto,mke wangu ananiridhisha wala sina haja ya kutoka nje, huyu lady mfanyakazi mwenzangu ni mrembo lakini tomboy flani ambaye sijawahi muona akivaa gauni ama sketi,ni Arsenal damu mwenzangu pia hucheza football mwisho wa wiki.Najua mtauliza kama wife anamjua? wanajuana na huja nyumbani.
Duuh-I had a bad experience.Nilimsaidia mke wa rafiki yangu kusudi warudiane na nilikuwa nikimuita dada na yeye akiniita kaka,kumbe loooh,akafikiri ushauri ninaotoa mimi ndio nilivyo,kosa ilikuwa kutamka kuwa "I will make sure you are happy" sikujua what happened tuna baby boy!