Can A Husband Forgive Wife Caught In Adultery??

duuuuuuhhhhh kwanza nampa pole sana.....
pili sijui kama kuna msamaha hapo...
lakini huwezi jua anampenda kiasi gani......
 
<br />
<br />umenena mkuu, kweli adhabu yake n kuongeza mapenzi tu,mengne atazungumza na nafsi yake.
 

Please, give me a break! Adultery is an evil act condemned by any civilized society or faith. Infedility is the symptom of mistrust among the duos.If one loves his partiner from the bottom of the heart, nothing will derail him or her from true love. Incase we all agree to forgo infidelity simply because we are human, then marriage is adulterated to its minimal standard. Think about this! You trust your partner, respect youself and have vision for the future together! While struggling for the better and happy life, the partner is fouling around with concubine, prostitute, Changu name any! At the end of the day he or she comes home with a total package of '' Virus''! The life turns upside down within a minute,wondering what a next day could be without Dawa za kuongeza nguvu! Yet some people applaud infidelity under the barner of '' sisi sio malaika''. Come on! I, wish the man could recover from coma and discipline the offender perfect and square! It does not mean one way, but could be either way. Let us call a spade the spade and not big spoon!
 
Mama alikuwa na mahusiano na boss wake akiulizwa anakataa ,mmewe akaweka mtego uliofikia kumnasa ..
Sasa mama ametoweka katika mazingira ya kutatanisha mzee yuko hospital
Hapo hakuna ndoa aisee
 
hahah


una kamoyo kama vespa aisee

Ha ha ha muzee hayo mambo yasikie kwa wengine ndio yale uliokuwa unaniambia jana kama una fyekeo au panga pembeni u never know what will happen sasa hapo jamaa akizinduka sijui what will be running thru his mind
 

Kabla ya kutafakari jamaa anaweza akaanza kumu-hunt aliyekuwa anajisevia mke wake maana huwezi jua akili za jamaa zitakuwa zinawaza nini akizinduka kutoka kwenye coma
 
Jamaa kishazinduka jana jioni na akili yake sasa imerudi normal ,alilofanya kawaita ndugu wa karibu na kuomba wamwambie wife wake akae mbali na yeye kwa sasa na hataki kumuona kabisa mpaka pale akili yake itakapoamua sasa achukue maamuzi gani
haitaji kumuona mkewe sasa kwani maamuzi anayoweza kufanya kipindi hicho hajajua yanaweza kuwa mabaya zaidi
..Hivi ni kwa nn tusiwe waaminifu katika ndoa/mahusiano yenu ?
 

Duh!!!!!Mama mkwe nilitegemea kwa vyovyote vile lazima angezinduka angesema maneno kama hayo sababu hapo alipo ni ana hasira mbaya sana yaani sipati picha jambo kama alijakutokea wala usiseme chochote kile vinginevyo likikutokea u never know what will happen or what decision you might take........
 
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity i doubt if any man can...

mKUKI KWA NGURUWE...KWA BINANDAM...?!! MKE KHABARI INGINE KABISA!!
 
Nukuu yangu na cheating vina uhusiano gani? Hebu nionyeshe tafadhali....

tafakari nikuambiayo kuhusu mada hii ,linganisha na hicho kipande hilo shairi ulichonukuu na uchukue hatua, c kila kitu mpaka uambiwe
 
Masikini anatilishaaaa......lakini cha kushangaza ni kuwa angekuwa ni mke ndiye kafumania unadhani hao ndugu wangesubiri kuitwa>> Yaani hata kabla hajazinduka wangefika wenyewe....tena wazee wa heshma ...na kuanza kumsemesha huo mwili wake (maana hajazinduka ati) huku wakimmasajimasaji kuwa maisha ndivyo yaivyo, avumilie tu......na akizinduka wanampa chorus.....ni mumeo msamehe, maisha ya ndoa ni kusameheana..... lakini kwa mume..........sidhani kama ni rahisi kusamehe aisee.

Ndio maana I always say kuna baadhi ya mambo ambayo mwanamke kama mwanamke hapaswi kuyafanya yaani hata iweje hatakiwi kuyafanya.....tunafanya tu kikichwa ngumu
 

Duh!!! Mjukuu sina cha kuongeza kwa kweli mambo mengine ni magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…