Kwa namna flani mazingira yanaweza kuchangia mtu kuwa genius.
Inapotokea kunauhitaji wa kitu flani cha muhimu sana na namna ya kukipata ikawa ngumu basi hapo uwezo wa akili huwa unakuwa juu sana.
Mfano mdogo, Njaa..! Hiki ni kipimo cha ku-survive, unapokuwa na njaa then no easy way to get food itakubidi akili yako ifanye kazi tu the beyond zaidi ya uwezo wake ili upate chakula na uweze ku-survive.
Naweza kuyagawa mazingira yanayochochea u-genus katika namna mbili..
1. Supportive Enviroment
2.Non supportive Enviroment
Supportive Enviroment ni yale mazingira ambayo hayakubani kutumia akili zako ila ni wewe mwenye kuzi-force kufanya kazi zaidi ya limit yake kutokana na kupenda kitu au vitu flaniflani ambavyo unajishughulisha navyo.
Non Supportive Enviroment ndo kama vile No way out you have to be genius to survive.
Inaendeelea......