gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,958 Reaction score 2,293 Jan 20, 2012 #1 Kwa mara nyingine tena sie wenyeving'amuzi tutashuhudia kombe la mataifa ya africa live kupitia Startimes chanells UBC or KBC. heko!!!!!!
Kwa mara nyingine tena sie wenyeving'amuzi tutashuhudia kombe la mataifa ya africa live kupitia Startimes chanells UBC or KBC. heko!!!!!!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jan 20, 2012 #2 nenda sport kuna sticky tread ndo uipost sawa..
Mwita Maranya JF-Expert Member Joined Jul 1, 2008 Posts 10,565 Reaction score 7,996 Jan 20, 2012 #3 gango2 said: Kwa mara nyingine tena sie wenyeving'amuzi tutashuhudia kombe la mataifa ya africa live kupitia Startimes chanells UBC or KBC. heko!!!!!! Click to expand... Hawa wachina wa startimes hawaaminiki kabisa. Uefa champions league walitufanyia uhuni mwaka jana hadi nikaacha kulipia. Kila ikikaribia ama kufika siku ya mechi channel zinazoonyesha soka zote zinakuwa ''No Signal''.
gango2 said: Kwa mara nyingine tena sie wenyeving'amuzi tutashuhudia kombe la mataifa ya africa live kupitia Startimes chanells UBC or KBC. heko!!!!!! Click to expand... Hawa wachina wa startimes hawaaminiki kabisa. Uefa champions league walitufanyia uhuni mwaka jana hadi nikaacha kulipia. Kila ikikaribia ama kufika siku ya mechi channel zinazoonyesha soka zote zinakuwa ''No Signal''.
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,843 Reaction score 10,768 Jan 20, 2012 #4 napata UBC, KBC, K24 na channel mbili toka Msumbiji kwa kutumia FTA. silipi hata senti moja.
Mwita Maranya JF-Expert Member Joined Jul 1, 2008 Posts 10,565 Reaction score 7,996 Jan 20, 2012 #5 Nyenyere said: napata UBC, KBC, K24 na channel mbili toka Msumbiji kwa kutumia FTA. silipi hata senti moja. Click to expand... FTA ndo king'amuzi ama nini?
Nyenyere said: napata UBC, KBC, K24 na channel mbili toka Msumbiji kwa kutumia FTA. silipi hata senti moja. Click to expand... FTA ndo king'amuzi ama nini?
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,896 Jan 20, 2012 #6 Mwita Maranya said: FTA ndo king'amuzi ama nini? Click to expand... Ni channel ambazo si za kulipia.FTA(free to air)ambazo huwa zinapatikana hata kwenye madish haya ya kawaida tu.
Mwita Maranya said: FTA ndo king'amuzi ama nini? Click to expand... Ni channel ambazo si za kulipia.FTA(free to air)ambazo huwa zinapatikana hata kwenye madish haya ya kawaida tu.