G Gulwa JF-Expert Member Jun 16, 2008 9,792 14,873 Jul 21, 2012 #1 Nimeona wanaharakati wakihimiza watu kutahiriwa ili kujikinga na maambukizi ya ukimwi. Wengi wanaminishwa kuwa tohara ni kama chanjo, matokeo yake wengi hasa vijijini watafanya ngono zembe kwa.kasi mpya. Balaa
Nimeona wanaharakati wakihimiza watu kutahiriwa ili kujikinga na maambukizi ya ukimwi. Wengi wanaminishwa kuwa tohara ni kama chanjo, matokeo yake wengi hasa vijijini watafanya ngono zembe kwa.kasi mpya. Balaa