campaign ya tohara ni jangaga

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,722
14,733
Nimeona wanaharakati wakihimiza watu kutahiriwa ili kujikinga na maambukizi ya ukimwi. Wengi wanaminishwa kuwa tohara ni kama chanjo, matokeo yake wengi hasa vijijini watafanya ngono zembe kwa.kasi mpya. Balaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom