Nimeshakutana nao wawili maeneo tofauti mmoja alikua anajifanya mfanyabiashara wa sokoni kariakoo ila work field yake ilikua Mwananyamala aliwaingizaga jamaa kwenye 18 watu wa arm robery.
Mwingine nilikutana nae chuo alikua anajifanya mwanafunzi siku moja nikamkuta ndani ya Ashok zile km noa nilishikwa na butwaa. Kiukweli hawa jamaa wana akili nyingi sana
Jemedari Mshana Jr lakini wenye fani yao wanakwambia tukio lolote lazima ibaki clue au alama, sema ugunduzi na utambulikaji unategemea mambo mawili, weledi na ufanisi wa watekeleza tukio pia uzoefu wa wafuatiliaji.
Wengine washagraduate chuo, lakini utawakuta wamejiinroll kwenye chuo kingine kama first year!, Na uongozi wa wanafunzi wanagombea na wanakuwa msitari wa mbele kwenye mambo ya migomo wako front lakini wanafukuzwa wengine, wao wanasurvive