Mwaka wa shetani kwa vigogo. Egypt nae si hayumo CAN 2012? Saaaafi
taifa stars hukumu yao ni jumapili, wanacheza ugenini na morocco, uwezekano wa kupenya ni mdogo sana.Taifa starz vp wamo??
nadhani ni impact ya yale machafuko, maana mwarabu yule mziki wake si kitoto!
Kenya nao wamewabania uganda ambao ndio walikua na muelekeo wa kuwakilisha east africa huko CAN 2012 lakini wamewabania wametoka sare ya 0-0,na angola ameshnda 2-0,kwa matokeo hayo uganda amekosa nafasi,alitakiwa ashinde na amekosa magoli mengi sana waganda,sasa east africa tutaendelea kuwa waangaliaji na washangiliaji wa mataifa mengine.