Cameroon kama watoto waliobemendwa,wanarukaruka tu uwanjani,tushukuru halftime jamaa hawajatufunga yaani nilihisi leo tunapigwa 8,bora Ivory Coast au waarabu wa Algeria
Miili mikubwa c sababu. Tena hayo yenye miili mikubwa ndo bogus kabisssa. hawajakutana tu na Argentina. Wangeisoma namba,,,,King angelikuwa anakusanya jiji zima mpaka kipa wao 😀😀