Camera za kushoot video za YouTube sio za simu?

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Habari wana jf,

Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
 
Watu wanatumua kila aina ya zana. Ila nilichogundua, kila kitu ni utaalam. Unaweza kuwa na vifaa ukatoa boko. Umeona zile short movies za shot by iphone 13 pro max cinemax, aisee ni balaa kama movie movie kweli.
Ziko youtube
 
Simu yoyote yenye hd inaweza kushoot atleast iwe na 20mpx mi nashoot na samsung A50
 
Habari wana jf,

Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
Kuhusu camera si lazima iwe ya simu yaani namanisha camera yoyote unatumia iwe simu au camera za kawaida. Hapo kikubwa utoe picha/Video zenye ubora.

Kuhusu kulipwa hapo hadi uunganishwe na Na matangazo ya Google (Google Adsence) na itakubaliwa channel yako baada ya kufikia vigezo ambavyo ni Watching hour 4000, subscribers 1K na channel iwe na kuanzia mwaka mmoja. Ukifikisha vigezo unaomba matangazo ya Google ili ulipwe.

Karibu katika uwanja wa mateso na mimi najikongoja mfano tazama channel kwa kubonyeza HAPA
 
Simu unashoot vizuri tu, Mic ni muhimu zaidi, pia Tripod inasaidia kwenye kushoot video.
 
Habari wana jf,

Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
Lete hela nina mzigo mkali sana kwa ajili ya shughuli za online ,utube ,fb live ,inster nichek pm
IMG_20230219_102215_889.jpg
 
Habari wana jf,

Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza kupata pesa na youtube naomba wanajamii tusaidiane kwa hilo
Wataalamu wanasema fanya you tube kama huduma, pesa zije zenyewe na usiwaze pesa utafel. You tube wengi ni hoby.
Mimi mwenyewe nna hoby ila ya education video.
You tube kuna video zina miaka 5 hazina view.
Ingia Amazon google youtube camera utapata the best kisha agiza kwa wakala
Ila kama una budget ndogo chini ya milion nunua simu nzuri ya laki 6,7,8 itakupa matokeo mazuri.
Issue sio kamera bali expeience ya kutumia kamera iwe ya simu au special camera.
Zipo App ziaaweza ongeza ubora wa video.
Mi natumia sam sung S8+.
Ishu kubwa nilioiona ni changamoto ni mwanga na utaalamu wa ku edit.
 
sumaung s8+ video qulity ikoje mkuu
Video quality ni HD ila hutakuwa na hilo bando la kuweka quality ya GB 2 mtandaoni kwa video ya dakika 5. Lazima ushushe quality.
Samsung zina quality nzuri.
ona picha hii
20230301_150000.jpg
20230205_131132.jpg
 
Wataalamu wanasema fanya you tube kama huduma, pesa zije zenyewe na usiwaze pesa utafel. You tube wengi ni hoby.
Mimi mwenyewe nna hoby ila ya education video.
You tube kuna video zina miaka 5 hazina view.
Ingia Amazon google youtube camera utapata the best kisha agiza kwa wakala
Ila kama una budget ndogo chini ya milion nunua simu nzuri ya laki 6,7,8 itakupa matokeo mazuri.
Issue sio kamera bali expeience ya kutumia kamera iwe ya simu au special camera.
Zipo App ziaaweza ongeza ubora wa video.
Mi natumia sam sung S8+.
Ishu kubwa nilioiona ni changamoto ni mwanga na utaalamu wa ku edit.
Kwenye ku edit nichek nina exprience kidogo tunaweza share
 
Back
Top Bottom