Camera za CCTV na Wizi wa Mitihani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Camera za CCTV na Wizi wa Mitihani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kichankuli, Dec 31, 2008.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2008
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 857
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Wadau wa JF hebu mnisaidie hili, hivi hizi kamera za cctv zinaweza kweli kubaini mtu aliyeiba mtihani toka ofisi za Baraza la mitihani na kutoka nao nje?. Kwa sababu kunatakiwa awepo mtumishi ambaye atakuwa akifuatilia nyendo za watumishi kwenye komputa ambayo inaziongoza kamera hizo. Sasa kilichowashinda hawa watumishi kutoitunza mitihani wakati huu sizani kama Wizara ya Elimu au Baraza la Mitihani wamebaini sababu zake la sivyo mimi sioni kwa namna gani uthibitisho wa waziri unaweza kutimizwa.

  Kinachotakiwa hapa ni maadili ya kusema hili jambo siyo sahihi na kwa maana hiyo Wizara ya Elimu pamoja na Baraza la Mitihani walitakiwa kubaini vitu vinavyowawezesha watumishi kuwa na hulka hiyo.

  Kuna siku moja tulikuwa tunafanya kazi na Mtumishi mmoja wa Benki fulani. Baada ya kufanya ila kazi, Mnene wa Wizara fulani ambaye ndiye aliyekuwa anahusika na kazi hiyo akaamua kutulipa kifuta jasho. Lakini yule jamaa wa benki alikataa kupokea fedha ile kwa maelezo kuwa tayari Ofisi yake ilishamlipa kwa kazi ile. Nilifurahia na kutamani kama siku moja na watumishi wa serikali wangefikia hali hiyo naamini kusingelikuwa na wizi wa mitihani na mambo mengine yanayofanana na hayo katika utoaji wa huduma kwa umma
   
 2. o

  osea2008 New Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OSEA is a high technology company that dedicates manuafacturing security products such as :cctv system,cctv camera,IP camera,IR camera,Dome camera,CCD camera,high speed camera,security system,security soluiton,security camera,alarm system,home alarm,GSM alarm system,wireless camera,personal/vehicle GPS tracker,video door phone,access contol ,DVR[FONT=宋体],[/FONT]Walkie Talkie Watch,IP phone etc.

  For more information, pls visit our website at:
  http://www.oseae.com
  E-mail:info@oseae.com
  Diego
   
 3. o

  osea2008 New Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OSEA is a high technology company that dedicates manuafacturing security products such as :cctv system,cctv camera,IP camera,IR camera,Dome camera,CCD camera,high speed camera,security system,security soluiton,security camera,alarm system,home alarm,GSM alarm system,wireless camera,personal/vehicle GPS tracker,video door phone,access contol ,DVR[FONT=宋体],[/FONT]Walkie Talkie Watch,promotion gift etc.

  For more information, pls visit our website at:
  www.oseae.com
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  ni kweli zinasaidia cause zinakamata matukio yote ni rahisi ku- review camare na kuangalia movoment zote zinazoendelea katika ofisi
   
Loading...