Camera ya matumizi binafsi

Camera ya matumizi binafsi

complex31

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
482
Reaction score
1,438
Mada yangu ya leo itaenda kwa wale wapiga picha za sherehe au shughuli, wauzaji wa camera pamoja na watumiaji wa Camera (sio camera za kwenye simu)

Nimepanga kununua Camera kwaajili ya matumizi binafsi ya familia, safari za mara kwa mara mikoani na nje ya mipaka.

Kwa wale watumiaji wa hizi Camera nimependa kampuni ya NIKON na CANON ningependa kupata ushauri Model ipi ndio kwa kiasi fulani ni nzuri.
Ahsanteni.

IMG_6688.jpg

IMG_6687.jpg
 
Kama matumizi binafsi nakushauli nunua Sony ZV1 ni nzuri compact, ndogo, inakuja na lens yake, bei iko poa na hogh quality. Inshort imetengenezwa mahsusi kwa mahitaji kama yako.
 
Back
Top Bottom