Camera iphone vs other android

Camera iphone vs other android

sammgeni

Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
50
Reaction score
4
Android gani ya cheap price ambayo ina camera walau nzuri kukalibia au kufikia iphone??
 
Iphone 5,5s
Cheap price less than 350000
flagship za mwaka 2013/2014 zinacompete/kuzipita hizo iphone, simu kama

-lg g2
-galaxy note 3
-xperia z2
-galaxy s5
-lg g3
-htc m7 na m8

hizo zote used au mpya unaweza pata kwa bei hio.
 
flagship za mwaka 2013/2014 zinacompete/kuzipita hizo iphone, simu kama

-lg g2
-galaxy note 3
-xperia z2
-galaxy s5
-lg g3
-htc m7 na m8

hizo zote used au mpya unaweza pata kwa bei hio.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom