Mr Sanguine
Member
- Dec 29, 2017
- 77
- 44
Naomba kujua aina gani ya Camera Ina quality nzuri ya picha zake. Nahitaji kuanza ka biashara kadogo ka kupiga picha na passports size.
Wazoefu wa mambo haya naomba mnisaidie Sasa nijue nanunua camera gani kwa kazi hii niliyoamua kuifanya na ikiwezekana, na Bei ya camera kabisa.