Spinster
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 487
- 138
Haya..kwa wale wanaoitaj camera kwa ajili ya video shooting, na picha ...nauza camera haraka .. zilikuz 3 imebaki moja .. ipo in good condition na bei ni nzurii...ina betri 3 ambazo zinakaa na charge mda mrefu..alie interested anichek pm