Calvin klein original shoes kinauzwa

Calvin klein original shoes kinauzwa

Gantar gal

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
78
Reaction score
6
.........
...
 

Attachments

  • 1410337510768.jpg
    1410337510768.jpg
    77.4 KB · Views: 347
Y mnakuwa hvy mtu akipost kitu hamkosi cha kuongea stop being lyk dat mbna othr social net hawako hvy km ujapenda sio kesi unanyamaza cpendag kujb mtu bt imenbd

inamaanisha kuwa kabla hatujaja kununua tuchenji pesa zetu kwenda dollar au?
 
Hufai kuwa mfanya biashara una vihasira vya haraka sana visivyo na umuhimu wowote.
 
Y mnakuwa hvy mtu akipost kitu hamkosi cha kuongea stop being lyk dat mbna othr social net hawako hvy km ujapenda sio kesi unanyamaza cpendag kujb mtu bt imenbd

Hawa jamaa wa sekondari za kata wana matatizo sana; sasa ona anavyoandika kwa mkato hata haeleweki anataka kutuambia nini, andika kwa kirefu ili ueleweke msitake mamabo ya mkato mkato mtapata taabu maishani.
 
Umefikiri kama mimi kaletewa zawadi havimtoshi/hajavipenda kaamua kuuza halafu anadai kimebaki kimoja.

ha ha haa mi nlidhani hiyo username ni ke kwamba ameleta zawadi kwa mbeibe, pengine kamfumania ndo kaamua kuviuza kama noma na iwe noma,lmao!
 
ha ha haa mi nlidhani hiyo username ni ke kwamba ameleta zawadi kwa mbeibe, pengine kamfumania ndo kaamua kuviuza kama noma na iwe noma,lmao!

Inawezekana, maana inaonekana havikuja kwa nia ya kuuzwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom