contact zako
ntakupataje?
anaehitaji cd original ya call of duty ile ya kwanza ipo kwenye box lake cd za installation zipo 2 na za expansion pack 2 bei 12000
dah,wiz huu!haya bana wanaohitaj v2 original watakutafta,me hizo ctakagi bana
wiz mm au ww kma htaki c dwnld 2 umezuiwa au nenda dukani kabisa kanunue
dah,wiz huu!haya bana wanaohitaj v2 original watakutafta,me hizo ctakagi bana
Wewe good guy, sio "good guy" u seriously have your way of making one feel useless. Hii sio mara ya kwanza so I guess its an attitude. Anyways, i will not forget the "lol" so here it is "lol" and thanks for your contribution.